Marehemu Hellen Mbebha wakati wa uhai wake |
Spika wa Bunge akiweka shada la maua kwenye kaburi la Hellen |
Katibu wa Bunge akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Hellen |
Makamishna wa Bunge wakiweka mashada |
Wazazi wa marahemu Hellen wakiwa na watoto wa marehemu |
Mama mzazi wa marehemu Hellen akiwa anasaidiwa |
Wabunge wanawake wakiweka shada la maua |
BWANA alitoa, BWANA ametwaa. Jina la BWANA lihimidiwe. Amina! |