Kutoka kulia: Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Msumbiji Mhe. Philipe Nyusi, Rais wa DRC Mhe. Joseph Kabila, Rais wa Afrika Kusini Mhe. Jacob Zuma, Rais Mstaafu wa Tz Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli, Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museven, Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Ali Mohammed Shein, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, na Makamu wa Rais Mstaafu mhe. Mohamed Ghalib Bilal baada ya shughuli ya kuapishwa kwa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli |