Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. Rais Kikwete alifika nchini Kenya (8/10/15) kwa nia ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa uongozi kama Rais wa Tanzania |
Rais Uhuru Kenyatta akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa TIC Bi Julieth Kairuki |