.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, September 25, 2015

Kudumisha Mila ile wengine kwisha acha

Profesa Lyoyd Binagi(suti) akiwa na ndugu zake baada ya kumchinjia shemeji yake mbuzi wa supu ikiwa ni ishara ya heshima ya hali juu katika kabila la  Wakurya Mkoani Mara. Shughuli hii ilifanyika Septemba 24, 2015 katika kijiji cha Kenyamanyori.

Shemeji wa Prof. Binagi, Bi. Nyamahanga aliyechinjiwa mbuzi wa supu akiwa na mke mwenzie wakila chakula

Prof. Binagi akimpa supu kaka yake, Bw. Hezekia Binagi wakati wa hafla hiyo ya kudumisha mila.

Bi. Luise Binagi akimpa supu mhusika wa shughuli

Bw. James Binagi (Chacha) akimkabidhi mke mwenza wa Nyamahanga kikombe cha supu