.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, March 17, 2015

JK aongoza kuchangia Chuo Kikuu cha Tumaini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)  wakati wa kuchangia ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini ambapo zaidi ya Sh. bilioni 1.6 zilipatikana jijini Dar