Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Francois Holland mara baada ya Rais Kikwete kuwasili Paris kwa ziara ya kikazi |
Add caption |
Rais Kikwete akikagua grwaride maalum |
Viongozi hao wakijadiliana |
Rais Kikwete akifungua rasmi jengo la ubalozi wa Tanzania Jijini Paris |
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri ubalozini hapo |
Picha ya amoja ya Rais na ujumbe wake pamoja na Balozi Begum Maj (nguo nyeupe) na watumishi wa ubalozi |