Ni kakakuona aliyeonekana maeneo ya Kigamboni mwishoni mwa mwaka 2014 |
Add caption |
Kakakuona huyo akinywa maji badala ya kula vyakula alivyopewa. Hii, kulingana na maoni ya wazoefu wa mnyama huyu adhimu, ni kiashiria kuwa kutakuwa na mvua nyingi sana mwaka huu wa 2015 |