Mhe. Lukuvi na Mhe. Lowassa |
Mhe. Lowassa na Mhe. Vulu |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Francois Holland mara baada ya Rais Kikwete kuwasili Paris kwa ziara ya kikazi |
Add caption |
Rais Kikwete akikagua grwaride maalum |
Viongozi hao wakijadiliana |
Rais Kikwete akifungua rasmi jengo la ubalozi wa Tanzania Jijini Paris |
Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni mashuhuri ubalozini hapo |
Picha ya amoja ya Rais na ujumbe wake pamoja na Balozi Begum Maj (nguo nyeupe) na watumishi wa ubalozi |
Spika wa Bunge Mhe Anne S. Makinda (wa pili kutoka kulia) pamoja na viongozi wakuu wakati wa Kuapishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 5/1/2015 |
Kiapo |
Vitendea Kazi |
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi. Kutoka Kushoto: Gen. Devis Mamunyange (CDF), Rais Kikwete, AG. George Masaju, IGP Ernest Mangu na CGP John C. Minja |