Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akipokelewa katika uwanja wa ndege mjini Mascut Oman alipowasili kwa ziara ya kikazi ya siku sita
Spika Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'shura katika uwanja wa ndege wa Mascut, Oman
Spika Makinda wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake. Mwanzo kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe, pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge Mhe. William Lukuvi. Mwanzo kushoto ni B alozi wa Tanzania nchini Oman