.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, October 10, 2014

Ratiba mazishi ya Dkt Shija


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA BUNGE
RATIBA YA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA   CHAMA CHA MABUNGE YA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA MADOLA (COMMON WEALTH PARLIAMENTARY ASSOCIATION) DR. WILLIAM FERDINAND SHIJA
Siku na Tarehe
Muda
Tukio
Mhusika

9:15
Alasiri
Mwili kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA kwa Emirates EK 0725
Kamati

9:30
Alasiri
Kumpokea mjane kutoka kwenye ndege kwenda VIP
Mwenyekiti wa CPA  Tanzania Branch
Jumamosi
11 Oktoba, 2014
10:00
Alasiri
Kuutambua mwili na kukamilisha taratibu za Uhamiaji
Mke wa marehemu  na  Wanafamilia

10:05
Alasiri
Mwili kubebwa na kuwekwa kwenye gari
Waombolezaji

10:10
Alasiri

Msafara kuelekea nyumbani
Kamati

11:20
Jioni
Ibada ya Misa Takatifu nyumbani
Padre

11:20 Jioni – na kuendelea
Viongozi wa Kitaifa na waombolezaji  kutoa pole kwa familia na shughuli za maombelezo kuendelea
Wanafamilia
Jumapili
12 Oktoba, 2014
1:00 – 2:00
Asubuhi
Kifungua kinywa nyumbani kwa marehemu
Kamati

3:00 – 3:30
Asubuhi
Waombolezaji kuwasili Viwanja vya Karimjee
Kamati na Wanafamilia

3:30 – 4:00
Asubuhi
Viongozi wa Kitaifa kuwasili Karimjee kulingana na Itifaki
Kamati

4:00 – 4:15
Asubuhi
Mwili wa marehemu kuwasili Viwanja vya Karimjee kwa gwaride maalum la Mpambe wa Bunge
Kamati

4:15 – 4:25
Asubuhi
Wasifu wa Marehemu
 Katibu wa Bunge

4:25 – 4:30
Maelezo ya Familia kuhusu Marehemu
Anna Claire Shija

4:30 – 4:35
Asubuhi
Salamu za Rambirambi kutoka CCM
Mwakilishi

4:35 – 4:45
Asubuhi
Salamu za Rambirambi kutoka Kambi ya Upinzani Bungeni
MC

4:45: – 4:55
Asubuhi
Salamu za Rambirambi – CPA Kanda ya Afrika
Mwakilishi

4:55 – 5:05
Asubuhi 
Salamu za Rambirambi – CPA Makao Makuu
Mwakilishi

5:05 – 5:15 Asubuhi
Salam za Rambirambi kutoka Serikalini *
Mwakilishi

5:15 – 5:25 Asubuhi
Salamu za Rambirambi kutoka Bunge
Spika wa Bunge

5:25 – 5:35 Asubuhi
Neno la Shukrani kutoka kwa familia
Familia ya marehemu
Jumapili
12 Oktoba, 2014
5:35 – 5:45 Asubuhi
Kutoa utaratibu wa safari
Katibu wa Bunge

5:45  – 6:45 Mchana
Kutoa heshima za mwisho
Kamati

6:45 – 7:30 Mchana
Mwili wa marehemu kuelekea Uwanja wa Ndege
Kamati


7:30 – 8:00 Mchana
Taratibu za kusafirisha mwili
Kamati


10:00
Alasiri
Mwili kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza / Kamati

12:00
Mwili kuwasili nyumbani kwa marehemu Sengerema.
Mkuu wa Wilaya / Kamati

* Mtiririko huo unaweza kubadilika kutegemea na itifaki ya Mwakilishi wa serikali.






Siku naTarehe

Muda

Tukio

Mhusika



2:00 – 3:00
Asubuhi
Kifungua kinywa
Wote


3:00 – 4:00
Asubuhi
Ibada nyumbani kwa marehemu
Askofu/Padre


4:00 – 4:15
Asubuhi
Mhe. Rais Kuwasili
Mkuu wa Mkoa


4:15 – 5:00
Asubuhi
Kuaga mwili wa marehemu
Waombolezaji


5:00 – 5:30
Asubuhi
Kuelekea makaburini
Waombolezaji


5:30 – 6:30
Mchana
Shughuli za mazishi
Askofu/Padri


6:30 – 7:00
 Mchana
Mashada
Kamati


7:00 – 7:05
 Mchana
Wasifu wa marehemu
Kamati


7:05 – 7:10
 Mchana
Salamu za Rambirambi
Mkuu wa Wilaya

Jumatatu
13 Oktoba, 2014
Sengerema
7:10 – 7:15
Mchana
Salamu za Rambirambi CCM
Uongozi Mkoa/Wilaya


7:15 – 7:20
Mchana
Salamu za Rambirambi
Mwakilishi CPA Kanda ya Afrika


7:20 – 7:25
Mchana
Salam za Rambirambi
Spika wa Bunge


7:25 – 7:30
Mchana
Salamu za Rambirambi
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


7:30 – 7:40
 Mchana
Neno la shukrani kutoka kwa familia
Mwakilishi wa familia


7:40 – 8:00
Mchana
Mwisho wa shughuli za mazishi, Waombolezaji kurejea nyumbani
Waombolezaji Wote


8:00 – 9:00
Mchana
Chakula
Wote


9:00 – 10:00
Alasiri
Viongozi kuondoka
Kamati
















                                              

MWISHO