.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, October 9, 2014

Hivi ndivyo Katiba inayopendekezwa ilivyokabidhiwa kwa wakuu wa nchi....

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akiwakabidhi Marais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Dkt. Ali Mohamed Shein Katiba iliyopendekezwa



Mwenyekiti wa BMK akishangilia




Mwenyekiti wa BMK Mhe. Samuel Sitta akimpokea na kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara tu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa lengo la kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa baada ya Bunge la Katiba kumaliza kazi yake



Mwenyekiti wa BMK Mhe. Samuel Sitta akimpokea na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein mara tu alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa lengo la kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa baada ya Bunge la Katiba kumaliza kazi yake
Rais Kikwete na Mhe. Sitta wakishirikishana jambo

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  alipowasili mkoani Dodoma jana asubuhi.