.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, October 30, 2014

Mkutano wa 16 na 17 wa Bunge


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LATANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MKUTANO WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAHERE 4 – 28 NOVEMBA, 2014 – DODOMA

Kufuatia uwepo wa Bunge Maalum la Katiba lililomalizika mwezi Oktoba, Mkutano wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania wa Kumi na Sita na wa Kumi na Saba ilipangwa kufanyika kwa pamoja kuanzia tarehe 4 – 28 Novemba, 2014 mjini Dodoma.

Kazi zitakazofanyika katika mikutano hiyo ni pamoja na Bunge kukaa kama Kamati ya Mipango kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 94(1) na kupokea, kujadili na kutoa maoni na ushauri kuhusu bajeti ya serikali, vyanzo vya mapato pamoja na mapendekezo ya utekelezaji wake. Aidha kutakuwa na kusomwa kwa mara ya pili na hatua zake zote kwa miswada ya Sheria ya Serikali  ambayo ilikwishasomwa kwa mara ya kwanza katika mikutano iliyotangulia; Muswada Binafsi wa Mbunge na Muswada Binafsi wa Kamati kama ifuatavyo:

A.     Miswada ya Sheria ya Serikali
                         i.         Muswada ya Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani wa Mwaka 2014. [The Value Added Tax Bill, 2014]
                       ii.         Muswada wa Sheria ya Takwimu  wa Mwaka 2013. [The Statistics Bill, 2013].
                      iii.         Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi  wa Mwaka 2014. [The Tax Administration Bill, 2014]
                      iv.         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya  Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi  wa Mwaka 2014 [The Public Private Partnership (Amendment) Bill,  2014] na,  
                       v.         Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali  wa Mwaka 2014. [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2014]

B.     Muswada Binafsi wa Mbunge
                        Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana  wa Mwaka 2013. [The Youth                          Council Bill, 2013]


C.     Muswada Binafsi wa Kamati
                        Muswada wa Sheria ya Bajeti  wa Mwaka 2014. [The Budget Bill,                                   2014].

Aidha, Bunge litapokea taarifa ya Kamati Teule iliyoundwa tarehe 1/11/2013 ili kuchunguza na kuchambua sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji ili kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi.

Pamoja na mambo mengine, Bunge pia litajadili  maazimio matatu ambayo ni:
       i.         Azimio la kuridhia Itifaki ya Afrika Mashariki Kuhusu Ushirikiano katika Masuala ya Kiulizi. [The East African Protocol on Cooperation in Defence Affairs].
     ii.         Azimio la Bunge kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano ya msingi ya Ushirikiano katika Bonde la Mto Nile, [Agreement on the Nile River Basin Co-operative Framework – CFA]; na
    iii.         Azimio la kuridhia Itifaki ya Uzuiaji wa Vitendo Haramu dhidi ya Usalama wa Miundombinu ya kudumu iliyojengwa chini ya Bahari katika mwambao wa Bara ya mwaka 1988. [The Protocol for the Suppression of Unlawful Acts against the Safety of Fixed Platforms located on the Continental Shelf – SUA, 1988].
Aidha, kutakuwa na maswali ya kawaida kwa mujibu wa kanuni ya 39(1) ambapo kwa mikutano hii miwili yakuwa 265 na  maswali kwa Waziri Mkuu kwa mujibu wa kanuni ya 38(1).

Mwisho Waheshimiwa Wabunge wakiwa Dodoma watapata fursa ya kushiriki semina mbalimbali za kujenga uwezo katika nyanja za kilimo na usalama wa chakula; faida za ushirikiano katika Bonde la Mto Nile; na umuhimu wa kupima/kuchunguza afya mara kwa mara.

Ratiba ya Mkutano itatolewa mara baada ya kikao cha Kamati ya Uongozi kitakachofanyika tarehe 4 Novemba 2014, Dodoma.


Imetolewa na Ofisi ya Bunge,
Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na
Uhusiano wa Kimataifa,
Dar es Salaam,
30  Oktoba 2014

Tuesday, October 28, 2014

Tanzania mpya kuzaliwa?

Warioba akitinga ndani ya Bunge Maalum kuwasilisha Rasimu ya Katiba Mpya

Rais wa JMT Mhe. JM Kikwete akilihutubia Bunge Maalum

Bunge Maalum

UKAWA kususia Bunge Maalum

Rais Kikwete na juhudi za maridhiano

Mhe Chenge amkabidhi Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta rasimu ya Katiba

Mwanasheria Mkuu wa Zanziba (mwenye mfuko) aikataa rasimu ya Katiba

Mwenyekiti wa Bunge Maalum amkabidhi Rais Kikwete Katiba pandekezwa

Rais Kikwete na Rais Shein waipokea rasmi Katiba pendekezwa

UKAWA waungana rasmi kudai katiba mpya (kutoka kulia ni Mhe. Maalim seif, Mhe. Freeman Mbowe, Prof I. Lipumba na Mhandisi James Mbatia)


CCM Zanziba wafundwa kuhusu Katiba

Wafuasi wa Ukawa wafundwa kuhusu katiba

UKAWA

CCM

Thursday, October 23, 2014

Miss Tanzania 2014: Aibu ya Taifa.... wizara husika ifanye kitu mapema....

Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu na washinfi wenzake

Bwana Lundenga akimsafisha Miss Tanzania
Cheti cha kuzaliwa cha Septemba 2014. Mashindano yalifanyika Oktoba 11, 2014



Utetezi wa Miss

Saturday, October 18, 2014

Simba, Yanga hakuna mbabe 18/10/2014

Amri Kiemba na Andrey Continho kazini

Jaja wa yanga akipambana

Mlinda mlango wa Simba Peter manyika Jr  akionesha vitu vyake

Elias maguri wa Simba akipambana na Oscar Joshua wa Yanga

Spika Makinda awasili Oman kwa ziara ya kikazi

Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akipokelewa katika uwanja wa ndege mjini Mascut Oman alipowasili kwa ziara ya kikazi ya siku sita

Spika Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'shura katika uwanja wa ndege wa Mascut, Oman

Spika Makinda wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake. Mwanzo kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe, pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera na Uratibu wa Bunge Mhe. William Lukuvi. Mwanzo kushoto ni B alozi wa Tanzania nchini Oman

Thursday, October 16, 2014

This is how the world said goodbye to the late Dr. Shija

 
Goodbye Dr. William Ferdinand Shija (By Prosper Minja, Parliament of Tanzania)

October 4th, 2014 the international community of the Commonwealth Parliamentary Association (CPA) lost its great leader.  The first black African, Dr. William Ferdinand Shija, a Tanzania by origin,  became  the CPA Secretary General in 2007, almost a century after the inception of the Association which was established in 1911.  The prostate cancer took away his life. To the eyes of human being Dr. Shija is gone, but in the hearts of the committed CPA members he will never go away.

Born in 1947, Dr. Shija studied widely in Tanzania, in India, in the United Kingdom and in the United States of America and worked in various capacities.  He worked as a lecturer in various institutions in Tanzania before he became a Member of Parliament. In that capacity he was appointed a minister in various ministries including the Ministry of Energy and Minerals, the Ministry of Information and Culture, the Ministry of Science and Technology, the Ministry of Higher Learning to mention but a few.

Aspirations to serve his community and beyond took Dr. Shija to higher levels and contested for the CPA highest position of which he land-markedly won twice. The CPA community in the Indian region, the Africa region, the Caribbean and Pacific region, Canada and the rest of the CPA world accepted him as the leader who gave the CPA face and direction in terms of leadership, unity and financial base. The solid seven years of his service will go down to history.

Survived by a widow, Mama Getrude Shija, and five children, the remains of the humble man  were brought to Tanzania on October 11. The following day the body of the late  Dr. Shija received a national funeral ceremony both in Dar es Salaam and in Mwanza, Sengerema at Nyakomba village where he was laid to eternal rest on 13th of October, 2014.

Thanks to the CPA fraternity world wide for the condolences, comfort and unity shown during the sad and untimely demise of this great son of Africa.



The mourners comfort the widow, Mama Getrude Shija as the body arrived in Dar es Salaam
People are crying

Sargent-at-arms carrying the coffin containing the body of the late Dr. Shija

Government officials receiving the body at the Julius Nyerere International Airport as it arrives from the UK


Mourners at the home of the late Dr. Shija, Kibamba - Dar es Salaam

The family of the late Dr. Shija standing in disbelief


School pupils

His daughter in great sorrow










The President of the United Republic of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete comforts  the widow, Mama Getrude Shija, and the family as he just paid his last respect to the body of the late Dr. Shija

The Speaker of the Tanzania National Assembly and the President of CPA Africa region Rt. Hon. Anne Semamba Makinda pays last respect to the body of the late Dr. Shija


Dr. Thomas Kashilila, Clerk of the Tanzania National Assembly comforts the family



Representative from South Africa



Former Prime Minister Hon. Edward Ngoyae Lowassa


Top leaders


Family


CPA Chairperson Tanzania Branch, Hon. Mussa Zungu



The five children of the late Dr Shija giving a testimony of their beloved daddy.

Opposition representative Hon. John John Mnyika

CPA representative (South Africa)

CPA HQ

Handling of the condolence book

Rt. Hon Speaker Makinda




Journey to Sengerema, Mwanza

Deputy Speaker Hon. Job Ndugai receives the widow in Mwanza Airport

A cross-section of mourners during the holy mass

The arrival of the Kenyan representatives led by  Senator Moses Wetangula 

The widow's last respects

Senator Wetangula greets the family

His Lordship Bishop Renatus Nkwande (Roman Catholic) leads the congregation of clergy and  the faithful during holy Mass  prayer  for the soul of the late Dr. Willian Shija at Nyakomba village in Sengema.




Vice President of the United Republic of Tanzania entombs the earth as a sign of goodbye



Hon. Zitto Zuber Kabwe lays a wreath on the grave