.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, September 1, 2014

Historia inajiandika: RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA (TCD) IKULU NDOGO DODOMA 31/08/2014. WENGI WAO NDIYO WANAOUNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)


Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo.TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni, ambavyo ni CCM, CUF, CHADEMA, TLP, NCCR-Mageuzi na UDP.


Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo , Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana, Isack Cheyo, Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mhe Fahmi Dovutwa wakielekea chumba cha mikutano Ikulu Ndogo mjini Dodoma  


Wajumbe  wa TCD wakielekea chumba cha Mikutano


Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI Mhe Joseph Mbatia, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa wakiwasili Ikulu Ndogo mjini Dodoma



Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na wakiwasili Ikulu ndogo mjini Dodoma


Wajumbe wa TCD wakielekea chumba cha Mikutano Ikulu ndogo mjini Dodoma



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Mhe. Tundu Lisu na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao  Ikulu Ndogo mjini Dodoma 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao leo Ikulu Ndogo mjini Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Dkt. Wilbord Slaa na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao  Ikulu Ndogo mjini Dodoma 



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Prof. Ibrahim Lipumba na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao  Ikulu Ndogo mjini Dodoma 



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Mhe. Dovutwa na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao  Ikulu Ndogo mjini Dodoma 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Mhe. james Mbatia na  wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana  na Mhe. Philip Mangula na wajumbe wengine wa TCD alipokutana nao leo Ikulu Ndogo mjini Dodoma 


Rais Kikwete akizungumza  na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania alipokutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma

Rais Kikwete akizungumza  na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania alipokutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma


Rais Kikwete akizungumza  na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania alipokutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma


Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya kukutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma

Rais Kikwete akiagana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya kukutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma


Rais Kikwete akiagana nna wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania baada ya kukutana nao Ikulu Ndogo Mjini Dodoma

Rais Kikwete akiagana na mjumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania na Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustune Lyatonga Mrema Ikulu Ndogo Mjini Dodoma . PICHA