.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, September 23, 2014

Harusi ya kufana juu ya kilele cha Mlima mrefu kuliko yote barani Afrika Mlima Kilimanjaro kati ya Bi Kara Lee na Bwa. Richard Miller, wote raia wa Marekani, tarehe 21/9/2014. Ndoa hiyo ilifungwa na Mchungaji Aloyce Mbugi wa TAG na walizindikizwa na Mchungaji Ansigar Mtandika na Mchungaji Neema Njau. Ni harusi ya kihistoria iliyopambwa na kwaya ya Moshi mjini na kushereheshwa na vijana wapanda mlima.