| Spika wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete ili alihutubie Bunge mjini Dodoma jana |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho kikwete akilihutubia taifa kupita Bunge la Tanzania |
![]() |
| Viongozi wa Kitaifa wakifuatilia hotuba ya Rais |


