Kwa heri kaka.... |
Wazee wa ukoo |
Profesa Alex Lyatonga Mrema (UDSM) kaka wa marehemu |
Kamishna wa Bunge Mhe. Maua Daftari |
Nyumba ya milele |
Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Uomboni, Padre Alipenda akiweka udongo kaburini |
Watumishi wa Bunge washindwa kujizuia. Mama Mongi akisaidiwa baada ya kuishiwa nguvu |
Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malecela akimfariji mjane na familia |
Mke wa marehemu akiweka udongo |
Mke wa marehemu akiuga mwili wa mume wake
aliyefariki ghafla tarehe 10/11/2013 mjini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi..
|
Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah
akiwaongoza watumishi wa Bunge kuuga mwili wa marehemu.
|
Spika Mstaafu na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe. Samuel Sitta akiweka udongo kaburini kama Ishara ya kumuaga
marehemu Anselm Mrema.
|
Familia ya marehemu Anselm Mrema mara baada ya
mazishi.
|
Watumishi wa Bunge kwa huzuni kubwa |
Profesa Mrema akiipokea familia ya marehemu |
Mtoto wa marehemu akimuaga baba yake |
Padre Alipenda akiongoza ibada ya mazishi |
Mbunge wa Rombo Mhe. Joseph Selasini akiweka udongo |
Katibu wa Bunge akiweka udongo |
Katibu wa Bunge akiweka shada la maua kwa niaba yaOfisi ya Bunge |
Familia ya marehemu ikiweka shada la maua Bwana ametoa, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe! (Prosper Minja-Bunge) |