.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, November 18, 2013

Kwaheri Dkt Sengondo Mvungi

Watoto wa Dkt Mvungi (Bluu)
 

Jeneza lenye mwili wa gwiji la shria nchini
 

Makamu wa Rais wa Nchi Dkt Mohamed Gharib Bilal
 


Mwenyekiti Tume ya Katiba  Jaji J.S. Waeioba
 

Makasisi kwenye ibada ya kumuaga Dkt Mvungi
 

Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda
 

Kwaheri Baba
 

Serikali


Friday, November 15, 2013

Katibu wa Bunge aongoza maelfu kumuaga Anselm Lyatonga Mrema

Kwa heri kaka....
 

Wazee wa ukoo


Profesa Alex Lyatonga Mrema (UDSM) kaka wa marehemu


Kamishna wa Bunge Mhe. Maua Daftari


Nyumba ya milele


Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Uomboni, Padre Alipenda akiweka udongo kaburini


Watumishi wa Bunge washindwa kujizuia. Mama Mongi akisaidiwa baada ya kuishiwa nguvu


Mbunge wa Same Mashariki Mhe. Anne Kilango Malecela akimfariji mjane na familia


Mke wa marehemu akiweka udongo



  Kamishna wa Bunge Mhe. abdukadir Shah (kulia)  pamoja na watu wengine wakiupokea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Shughuli za Bunge marehemu Anselm Lyatonga Mrema mara ulipowasili nyumbani kwake Marangu Kiraracha tayari kwa mazishi jana.



  Mke wa marehemu akiuga mwili wa mume wake aliyefariki ghafla tarehe 10/11/2013 mjini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi..



    Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilillah akiwaongoza watumishi wa Bunge kuuga mwili wa marehemu.



     Spika Mstaafu na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samuel Sitta akiweka udongo kaburini kama Ishara ya kumuaga marehemu Anselm Mrema.



Familia ya marehemu Anselm Mrema mara baada ya mazishi.



Watumishi wa Bunge kwa huzuni kubwa


Profesa Mrema akiipokea familia ya marehemu


Mtoto wa marehemu akimuaga baba yake


Padre Alipenda akiongoza ibada ya mazishi


Mbunge wa Rombo Mhe. Joseph Selasini akiweka udongo


Katibu wa Bunge akiweka udongo


Katibu wa Bunge akiweka shada la maua kwa niaba yaOfisi ya Bunge


Familia ya marehemu ikiweka shada la maua
Bwana ametoa, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe! (Prosper Minja-Bunge)

Tuesday, November 12, 2013

Matukio

Siku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipotangaza msimamo wa Tanzania ndani ya Jumuiya ya Afrika mashariki (7/11/2013)

Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal jijini Arusha akiwa na wanahabari

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo kuhusu SADC PF