.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Sunday, August 4, 2013

Kuelekea kulipeleka Bunge kwa wananchi

1 Kuelekea kulipeleka Bunge kwa wananchi: Taswira ya Banda la Bunge katika Viwanja vya Nane Nane mjini Dodoma.


 Bi. Lucy, Afisa Sheria wa Bunge,  akitoa ufafanzi wa kisheria kwa wadau waliolitembelea banda la Bunge.
      Bi. Modesta, akijibu maswali wakati wa Maonesho ya Nane Nane.
 Picha nyingine Wanafunzi na wadau waliolitembelea banda la Bunge kwenye viwanja vya Nane Nane wakichukua baadhi ya kumbukumbu muhimu za kihistoria

 Picha za chini: Maafisa wa Bunge wakijadili namna ya kuboresha Banda la Bunge.