.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, June 18, 2013

Frateri Revocatus Paulo leo amepewa daraja takatifu la ushemasi na Mhashamu Baba Askofu Gervas Nzingirwa wa Jimbo la Dodoma. Kwenye umati mkubwa alikuwepo pia Mhashamu Baba Askofu Mstaafu Matias Joseph Isuja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Semamba Makinda