.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, June 25, 2013

Baraza la Vyama Vya Siasa lioao mwarobaini wa machafuko nchini

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia) leo amekutana na Baraza la Vyama vya Siasa nchini chini ya Mweneyekiti wake Bwana Peter Mziray (kushoto) na kumweleza kuwa Baraza hili linao mwarobaini wa kumaliza machafuko yanayojitokeza nchini kwa sasa. Aidha wajumbe wa Baraza hilo wamemwomba Spika ili wakutane na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete ili waweza kutoa ushauri wao kuhusu machafuko yanayotokea Mtwara, Arusha na kwingineko nchini na jinsi ya kukabiliana nayo.


Wajumbe


Wajumbe

Wajumbe