Kanisa katoliki Parokia ya Mtakatifu Yosef Mfanyakazi Olasite Arusha ulikotokea mlipuko wa bomu tarehe 5/5/2013 wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo |
Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda akiwasili Arusha na kulakiwa na Mkuu wa Mkoa Bw. Magesa Mulongo pamoja na uongozi wa mkoa kufuatia bomu lilioua watu watatu |
Ndipo Spika Makinda akakutana na mwenyeji wake Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Arusha Mhashamu Josephat Lebulu. Spika akibusu Pete ya Kiaskofu |
Spika Makinda aliongo ujumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge |
Baba Askofu Lebulu akielezea kilichojiri siku ya tukio |
Spika Makinda akikabidhi mchango wa wabunge wote kwa ujumla wao |
Kuelekea eneo la tukio |
Padri Pedy Kasterino, Paroko wa Parokia ya Tokeo la Bwana, Bulka Olasite akimkaribisha Spika na ujumbe wake eneo la mlipuko |
Eneo la tukio |
Yaliyojiri |
Tutubu.....Spika aliambia taifa |
Kutembelea majeruhi hospitalini |
Kwaherini..... |