Mashindano ya kwanza ya ulimbwende nchini mwaka 1967 (na kusitishwa hadi 1994) Kilimanjaro Hotel
Mwenye nambari tano Bi Theresia Shayo aliibuka kidedea
Huko Zanzibar nako ambako mashindano yalifanyika kwa mara ya kwanza na ya mwisho mwaka 1968 Bi Hediye Khamisi Mussa (katikati) aliibuka kidedea
Mashindando yaliporejea tena mwaka 1994 Bi Aina Maeda (katikati) alikuwa mshindi
Bi Aina Maeda akiwa na waandaaji wa mashindano ya ulimbwende
(kwa hisani ya Michuzi Blog)