Spika Makinda akipokelewa na Mkuu wa Mahusiano Bw.Svend Robinson kwenye mkutano wa 127 wa IPU, Quebec, Canada 23 Oct,2012 |
Spika Makinda (kati) akimtambulisha Mhe. Dr. Perpetua Nderakindo Kessy, Mbenge wa Afrika Mashariki (kushoto) kwa Balozi wa Tanzania Nchini Kanada Mhe. Alex Masinda |
Mkutano |
Mwakilishi wa Katibu wa Bunge katika mkutano huo Bw. Kileo Nyambele. Kushoto ni Afisa Dawati la IPU ndg. James Warburg |
Spika Makinda na Spika wa Morocco Mhe. Karim Ghellab wakishirikishana jambo |