Rais Barak Obama wa Marekani amewaalika viongozi wanne kutoka Afrika kuhudhuria Mkutano wa G8. Vingozi hao ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania, Rais Yayi Boni wa Benin, Rais Atta Mills wa Ghana na Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi. Mkutano huo utafanyika Camp David kuanzia Mei 19, 2012