Balozi Mulamula (kulia atika viwanja vya Bunge Dodoma) akisalimiana na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (kushoto) leo k leo.
|
Spika Makinda akifurahia jambo na Mbunge wa Simanjoro Mhe. Ole Sendeka (kati) na mdau wa michezo Wakili Imani Madega.
|
Balozi Mulamula akiwa na afisa wa Bunge Bw. Prosper Minja mara kabla ya kuanza kwa kiako cha Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama.
|
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akisalimiana na afisa wa Bunge |