URAFIKI WA AFRIKA NA CHINA... UKOLONI MPYA? JENGO HILI NI ZAWADI YA CHINA KWA UMOJA WA AFRIKA. NI MAKAO MAKUU YA UMOJA HUO HUKO ADDIS ABABA, ETHIOPIA KUANZIA MWAKA HUU. WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA ANAUITA URAFIKI HUU "WIN-WIN SITUATION" ... LABDA NI KUIMARISHA SOKO LA BIDHAA FEKI
VIONGOZI WA AFRIKA WAKIIFURAHIA ZAWADI
JENGO LINA MNARA WA UREFU WA FUTI 360. NI REFU KULIKO YOTE ETHIOPIA. NCHI INAYOONGOZA KWA NJAA