Nico Luther (shati jekundu) hatunaye tena. Hapa alikuwa akihudhuria kikao cha baraza la wafanyakazi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika Zanzibar tarehe 27 Sept. 2011. Amefariki jana kwa kupigwa risasi na ndugu yake. Kuagwa Mhimbili leo kuzikwa Arusha kesho 24/1/2012. Mwenyezi Mungu Mpumzishe karika amani yako kuu!