.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Friday, December 30, 2011
TANZIA
Kwa mara nyingine tukielekea mwishioni mwa mwaka 2011 tasnia ya habari imewapoteza wapiganaji wawili: Bi Halima Mchuka mkongwe wa TBC na Bw. John Ngahyoma gwiji la ITV na BBC. Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. Amina!
Newer Post
Older Post
Home