Mkurugenzi Mkuu wa Zantel Tanzania akiteta Jambo na mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika usiku wa Zantel ndani ya viwanja vya Bunge |
MC Katarina Kaihula akimkaribisha Mkurugenzi wa Zantel |
Wadau wakipongezana baada ya kazi ngumu za mchana kutwa |
Vipi shughuli inakwendaje....? |
Ni muda wa sebene |
Shughuli inakwenda na mlo |
They are discussing issues |
Mhe. Lukuvi na Mhe. Lisu wakifurahia jambo |
Karibu kwenye High life |
Extra Bongo.....Kazi ilikuwa ni moja tu |
Bi Chris Nkya, Bi Kitolina Kippa na Bi Katarina wakitathmini mwenendo wa issue nzima |