Picha za maspika wa Bunge kabla na baada ya Tanzania kupata Uhuru |
Picha za Mawaziri Wakuu tangu Tanzania ipate Uhuru. |
Makundi ya wananchi yakipewa ufafanuzi wa Siwa (juu), Katiba na machapisho mbalimbali (chini) |
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akiwaelekeza wananchi kusaini kitabu cha wageni wanaotembelea banda la Bunge. |