Balozi Peter Kalege akiwa na Familia yake nje ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza kufuatia mwaliko wa kuhudhuria sherehe za siku ya kuzaliwa Malkia Elizabeth II |
Malkia Elizabeth II akiwa katika gari ya kuvutwa na farasi akikagua gwaride la siku ya kuzaliwa kwake 6/10/2011 |
Gwaride la nguvu |
Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron kwenye Picha ya pamoja na familia ya Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Peter Kallage |