.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, February 4, 2011

Semina Elekezi yafikia tamati


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) (kulia ) na Mh. Mary Nagu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwezeshaji na Uwekezaji wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu
Mwenyekiti wa CHADEMa Taifa na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe akimsikiliza Waziri Mkuu wakati wa kufunga semina elekezi kwa wabunge

Sehemu ya wabunge waliofurika Ubungo Plaza wakisikiliza Waziri Mkuu.




Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda (katikati) wakitoka ukumbini mara baada ya semina elekezi kufungwa. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Mb na kushoto ni Mhe. Hamad Mohammed Rashidi. (Na Prosper Minja-Bunge)