.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, February 18, 2011

Friday, February 4, 2011

Semina Elekezi yafikia tamati


Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) (kulia ) na Mh. Mary Nagu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwezeshaji na Uwekezaji wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri Mkuu
Mwenyekiti wa CHADEMa Taifa na Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Mbowe akimsikiliza Waziri Mkuu wakati wa kufunga semina elekezi kwa wabunge

Sehemu ya wabunge waliofurika Ubungo Plaza wakisikiliza Waziri Mkuu.




Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda (katikati) wakitoka ukumbini mara baada ya semina elekezi kufungwa. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai Mb na kushoto ni Mhe. Hamad Mohammed Rashidi. (Na Prosper Minja-Bunge)

Semina Elekezi Ubungo Plaza


Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Katibu wa Bunge wakati
akitoa mada juu ya uendeshaji wa ofisi ya Bunge leo katika
Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza.



Wakurugenzi wa Idara mbalimbali za ofisi ya Bunge
wakifuatilia mjadala katika semina elekezi kwa wabunge.




Kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bungena Mwenyekiti wa Semina
Mhe. Job Ngugai (Mb), Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John
Joel na Mkurugenzi Msaidizi - Shughuli za Bunge Ndg. James Waburg
wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Bunge.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Thomas Kashililah akitoa muhtasari wa shughuli za
Bunge kwa wabunge wanaohudhuria semina elekezi katika
Ukumbi wa Ubungo Plaza leo. Aidha amesisitiza umuhimu
wa wabunge kufuata taratibu na kanuni zinazoiendesha
taasisi ya Bunge. (Na Prosper Minja-Bunge)

Wabunge wafundwa Ubungo Plaza