
Maspika wakipata maelezo ya hisoria ya kisiwa cha Isle of
Man

Spika Makinda (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na maspika wanaounda kamati tendaji ya maspika
na wenyeviti wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya
ya Madola walipokuta katika kisiwa cha Isle of man leo

Spika Makinda katikati, kushoto ni Dkt Fehmida Mirza, Spika wa Bunge la Pakistan na kulia ni Mhe. Meira Kumar Spika wa Bunge la India