Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imwaachia kwa dhamana wasanii 13 waliokamatwa na kuchunguzwa kwa kujihusisha na dawa za kulevya huku Msanii nguli Wema Sepetu akirudishwa mahabusu hadi upelelezi wake utakapokamilika: Pichani juu na chini ni baadhi ya wasanii hao wakisubiri hukumu, gari la polisi, na picha ya mwisho ni ndugu, jamaa na marafiki wa familia za wasanii |