Mtoto Juma Ramadhani wa Shule ya Msingi Tabata Kimanga akiwa amembeba mdogo wake, Sarah sadiq ili kumvusha daraja linalounganisha Tabata Kimanga na Tabata Chang'ombe |
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tabata Kimanga Bwana Amani akilitafakari daraja linalounganisha Tabata Kimanga na Tabata Chang'ombe |