| Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samuel Sitta akiwakabidhi Marais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Dkt. Ali Mohamed Shein Katiba iliyopendekezwa |
![]() | |||||||
Rais Kikwete na Rais Shein wakitoa ribon zilizoifunga Katiba inayopendekezwa kuashiria kuipokea rasmi
|
![]() |
| Mwenyekiti wa BMK akishangilia |
![]() |
| Rais Kikwete na Mhe. Sitta wakishirikishana jambo |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein alipowasili mkoani Dodoma jana asubuhi. |




.jpg)
.jpg)
.jpg)

.jpg)