.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, February 20, 2014

Bunge Maalum la Katiba laanza

Mwenyekiti wa Muda wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akiwashukuru wajumbe wa Bunge hilo baada ya kuchaguliwa.
Muonekano wa Ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba wakati wajumbe wakisubiri kupiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa muda  Mchakato wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba2.     


Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akifafanua jambo mara kabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mchungaji Christopher Mtikila akitoa maoni yake baada ya uchagizi wa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba.
 Kamati ndogo ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba chini ya uongozi wa Mhe. Pandu Ameir Kificho (kushoto). Kamati hii itakayoongozwa na Mhe. Costa Mahalu na Mhe. Magdalema Rwebangula itafanya kazi ya kuichambua rasimu ya Kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba.
Katibu wa Bunge la Muungano Dk Thomas Kashilillah (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Muda Mhe. Pandu Kifico wakati Kamati maalum ya Kanuni ilipokutana. Kamati hiyo inaundwa na wajumbe ishirini.

Friday, February 7, 2014

Rais Kikwete akutana na Baraza la Vyama vya Siasa nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kiwete (katikati) akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinzuri Zanzibar Mhe. Maalin Seif {ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi - CUF (kushoto) } na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Mhe. Jaji Francis Mutungi (kulia) wakati Rais alipokutana na wawakilishi wa vyama vya siasa hapa nchini mara tu kabla ya kutangazwa kuanza kwa Bunge la Katiba




CRDB yatoa 100m mafuriko Morogoro

Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dkt Charles Kimei akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete siku CRDB ilipomkabidhi Mhe. Rais mchango wa Sh. Milioni 100/- kwa ajili ya walioathirika na Mafuriko mkoani Morogoro




Wednesday, February 5, 2014

Spika Makinda amtembeza Rais Kikwete ajionee kasi ya maandalizi ya Bunge la Katiba Dodoma.

 Rais, Spika, KB na wafanyakazi wa Kampuni inayofanya marekebisho kwenye Ukumbi wa Bunge Dodoma
Spika akimtembeza Rais


Spika Makinda na Rais Kikwete wakijaribisha viti vya Bungeni 

Mhe. Rais akijaribisha vifaa vya sauti