.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, October 4, 2012

In Germany Sept 8-14, 2012

 

















The Journey of Faith in Vatican


The 6th 0f September 2012 made history as we toured
Saint Peter’s Basilica in Vatican. Hapa tunaona maeneo
ya utalii, Sesteens Chapel, ndani ya kanisa kuu la
Mt. Petro, Kaburi la Papa Yohanne II, altare/kaburi
la Halifa wa Kristo, Mt. Petro, St. Peter’s Square na
mengine mengi. Yote kwa sifa na Utukufu wa Mungu

Lango la St. Peter's Square

 


 


Instructor giving directives









Corridor along Sesteen Chapel



The Altar



The Dom






St. Peter's Square centre



St. Peter's Square front





Monday, September 3, 2012

Afrika na changamoto ya ukuaji wa miji na makazi


Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Anne Makinda, Naibu waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Goodluck Ole Medeye pamoja na wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 6 wa kuboresha miji na makazi mjini Napoli Italia leo. Katika mkutano huo, Umoja wa Mataifa umeweka bayana kuwa hakuna njia ya mkato ya kukabilina na changamoto za kukuwa kwa miji zaidi ya kuwa na sera madhubuti za kuboresha na kupanua miji. Mwanzoni mwa karne ya 20 ni 2% tu ya watu ilikuwa ikiishi mijini. Leo ni 50%.



Spika Makinda na Mh. James Lembeli kwenye kikao cha kuwaelimisha watunga sharia, sera na mipango miji.



Mhe. Ole Medeye kwenye kikao cha matumizi ya ardhi na ongezeko la watu katika miji ya Afrika



Spika Makinda akishauriana jambo na Mhe. Ole Medeye (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu  TAMISEMI



Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mhe. Masaburi akimsikiliza kwa makini Spika wa Bunge mara kabla ya kuanza kwa mkutano maalum wa mameya kuhusu ujenzi wa miji na makazi,


Wadau kwenye Mkutano huo.


Mwandaaji wa mkutano ( Volunteer)


Wadau mbalimbali wa mkutano