.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Tuesday, January 24, 2012

ILLEGAL MIGRANTS: THREAT TO TANZANIA?

Wahamiaji_haramu_wa_Raia_wa_Ethiopia_
wakiwa_ndani_ya_Mahakama_ya_Hakimu_
Mkazi_Mkoa_wa_Morogoro_wakisubiri_
kusomewa_mashitaka_yao_,_Januari_23,
_mwaka_huu.

Picha kwa hisani ya Michuzi


Monday, January 23, 2012

Kwaheri kaka Nico

Nico Luther (shati jekundu) hatunaye tena. Hapa alikuwa akihudhuria kikao cha baraza la wafanyakazi wa ofisi ya Bunge kilichofanyika Zanzibar tarehe 27 Sept. 2011. Amefariki jana kwa kupigwa risasi na ndugu yake. Kuagwa Mhimbili leo kuzikwa Arusha kesho 24/1/2012. Mwenyezi Mungu Mpumzishe karika amani yako kuu!

Saturday, January 21, 2012

DIPLOMATS IN THE MAKING

Ms. Mary Kahumbi

Following are the students of  Masters of International Relations degree programme 2011/2012 at the University of Dodoma as they posed for a photo during preparations for UE


Group discussion leader Mr Khalifan
 


Potential envoys in action
 



 
of







Future Ambassadors in discussion


Friday, December 30, 2011

TANZIA

Kwa mara nyingine tukielekea mwishioni mwa mwaka 2011 tasnia ya habari imewapoteza wapiganaji wawili: Bi Halima Mchuka mkongwe wa TBC na  Bw. John Ngahyoma gwiji la ITV na BBC. Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. Amina!