.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Saturday, November 12, 2011

Tutakufa wote lakini Tanzania itabaki- Prof.Palamagamba Kabudi

Waziri Mkuu na Mweneyekiti wa Semina Mhe. Mizengo Pinda akifungua semina ya mchakato wa marakebisho ya Katiba Mpya mjini Dodoma leo

Spika wa Bunge akifafanua jambo kwenye semina leo

Prof Palamagamba Kabudi wa Chuo Kikuu Dar es salaam ameawaka wadau wote wa katiba Mpya kuweka mslahi ya Taifa mbele kipindi hiki cha mchakato wa Katiba Mpya. Prof. kabudi amesema ikumbukwe kwamba sote tutakufa lakini Tanzania itabaki. Alikuwa akiendesha semina ya marekebisho ya katiba mpya mjini Dodoma leo.

Wajumbe wa semina wakimsikiliza Prof Kabudi

Mhe. Tundu Lisu akichangia katika semmina hiyo

Mhe. Ole sendeka akisoma vifungu vya katiba iliyopo

Prof. Kabudi

Thursday, November 10, 2011

Kombani ahimiza umuhimu wa Katiba Mpya

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Celina Kombani akijadili katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala mjini Dodoma leo. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Pindi Chana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Angelah Kairuki. Kamati imeendelea kuboresha Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Marekebisho ya Katiba ya Mwaka 2011.


Wajumbe wa kamati pamoja na wataalamu waalikwa.

Wajumbe wa kamati

Wajumbe wa kamati

Wajumbe wa Kamati

Wednesday, November 9, 2011

Balozi wa Umoja wa Ulaya amaliza muda wake Tanzania


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mizengo Pinda(kushoto)  na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (katikati) wakisalimiana na kubadilishana mawazo na Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa Tanzania Mhe. Tim Clarke mjini Dodoma leo. Mhe. Tim Clarke amekuja Dodoma kuliaga Bunge baada ya kuwa hapa nchini kwa miaka minne.


Spika Makinda akiwa na mazungumzo ba Balozi Clarke ofisini kwake leo.

Ziwadi ni ishara ya ukarimu….Spika wa Bunge akimpa Balozi Clarke zawadi ya saa ya ukutani yenye jengo la Bunge la Tanzania.

Balozi Clarke(kulia) pia alikutana na kujadili masuala kadhaa na  Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (katikati). Kushoto ni mjumbe wa Kamati hiyo Mhe. Khalifa Khalifa.

Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Zungu Azzan, Bolozi wa Umoja wa Ulaya Tim Clarke, Mwenyekiti wa Kamati Mhe Edward Lowassa na Mjumbe wa Kamati  Mhe. Khalifa S. Khalifa.

Tuesday, November 1, 2011

Wataalamu wazidi kutoa ushari uundwaji Katiba Mpya

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia) akitoa ushauri wa kitaalamu na uzoefu kwenye Kamati ya Sheria, Katiba na Utawala wakati wa mjadala wa Muswada wa Sheria ya Katiba ya Mwaka 2011 ambapo mwanasheria huyo mkongwe amwataka watanzania wote kwa ujumla kuwa kitu kimoja katika jambo hili.

Wajumbe na wataalam mbalimbali wa Kamati ya Sherai, Katiba na Utawala, Kamati ya Mashirika ya Umma, Kamati ya Fedha za Serikali za Mitaa na Kamati ya Hesabu za Srikali wakiwa katika mijadala mikali-mikali leo.








Matukio Bungeni

Mchakato wa Katiba Mpya






International IDEA 27-29 Oct 2011 New Africa Hotel Dar es Salaam








































Muswada wa Sheria ya Katiba