.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Sunday, January 18, 2015

Kinyaiya Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dodoma

Mhashamu Baba Askofu Beatus Kinyaiya akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt Gharib Bilal aliyemwakilisha Rais mara wakati wa Ibada ya kusimika kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma tarehe 18/1/2015

Makamu wa Rais akitoa salamu rasmi za Serikali

Picha ya pamoja

Monday, January 5, 2015

Jaji Masaju aapishwa kuvaa viatu vya Werema

Spika wa Bunge Mhe Anne S. Makinda (wa pili kutoka kulia) pamoja na viongozi wakuu wakati wa Kuapishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 5/1/2015
Kiapo

Vitendea Kazi



Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi. Kutoka Kushoto: Gen. Devis Mamunyange (CDF), Rais Kikwete, AG. George Masaju, IGP Ernest Mangu na CGP John C. Minja


Taswira ya Krismas huko Moshi

Kilimanjaro
Shughuli

Kitowe


Vinywaji


Maandalizi



Escape

Add caption


Xmas tree






Utoro

Ndafu

Mahabusu auawa akitoroka

Ni askari magereza wakimtoa mtuhumiwa juu ya ukuta baada ya kupigwa risasi na kufariki dunia akiwa anajaribu kutoroka katika mahakama ya Kisitu, Dar es Salaam januari 2015


Kakakuona atabiri mafuriko

Ni kakakuona aliyeonekana maeneo ya Kigamboni mwishoni mwa mwaka 2014

Add caption

Kakakuona huyo akinywa maji badala ya kula vyakula alivyopewa. Hii, kulingana na maoni ya wazoefu wa mnyama huyu adhimu, ni kiashiria kuwa kutakuwa na mvua nyingi sana mwaka huu wa 2015

Ajali Shule ya Msingi Oysterbay Dar

Ni ajali ya Isuzu Trooper na Vitz iliyotokea maeneo ya Shule ya Msingi Oysterbay

Wasamaria wema wakiwanusuru majeruhi

Vitz iliyogongana na Trooper. Hakuna aliyepoteza maisha. Picha kwa hisani ya Pius Micky