.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Monday, December 22, 2014

Hekaheka za Krismas huko Moshi

Hukumu
Kitoweo

Kinywaji


Tahadhari

Maandalizi

Uchaguzi

Mandhari

Bora kuruka

Serebuka

Kitoweo

Kiwezeshi

Mashamba

Xmas Tree

Zinatosha

Kina mama

Usafiri

Kuonja

Sherehe

Shughuli

Kinywaji

Komalyangoe

Mgomo

Political atmosphere in Tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Ngoyaye Lowassa wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wa JWTZ huko Monduli mwezi huu.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Mamunyanye akimkaribisha Mbunge wa Monduli Mhe Edward Lowassa kwenye sherehe za kutununuku Kamisheni
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mkstaafu Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa JWTZ


Friday, December 5, 2014

Bunge la Vijana 2014 lafanyika Dodoma

Washiriki

Washiriki

Wabunge wa Bunge la Vijana

Kiongozi wa Shughuli za Bunge la Vijana Bwana Zacharia Magige (Chuo Kikuu Mzumbe)

Spika wa Bunge la Vijana Bw. Edgar Israel ( St John's)

Kiongozi wa Upinzani Bunge la Vijana

Spika wa Bunge la Vijana akiwasili Bungeni

Mpambe wa Bunge la Vijana akiweka siwa Bungeni

Spika wa Bunge akisoma Dua

Wabunge

Wabunge

Mshauri wa Sheria Bw. Matamus Fungo

Mkurugenzi Msaidizi Bw. Athman Hussein

Afisa Mwandamizi wa Bunge Bw. Patson Sobha

Monday, November 24, 2014

Hivi ndivyo kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilivyokabidhiwa taarifa ya CAG na Naibu Spika Mhe. Job Ndugai kuhusu sakata la Escrow na IPTL November 17, 2014

Naibu Spika Ndugai
Taarifa ya CAG

Taarifa fupi ya makabidhiano


Muhtasari wa ripoti

Mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Zuberi kabwe akiipokea ripoti




Mwenyekiti na Makamu Mhe. Deo Filikunjombe wake wakipakea taarifa nzima


Mwenyekiti wa Kamati akielezea mkakati wa kuchambua taarifa

Katibu wa Bunge akitangaza kikosikazi cha kamati hiyo ya PAC


Kikosikazi chenyewe

Friday, November 14, 2014

Kamati ya uongozi 13/11/2014


Mweneykiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiendesha kikao cha Kamati ya Uongozi mara baada kuahirisha kikao cha Bunge. Hapa anatoa ufafanuzi kwa baadhi mambo yalijitokeza ambapo pamoja na mambo mengine amesema taarifa ya IPTL itakabidhiwa kwa  Waziri Mkuu naye ataikabidhi kwa Spika wa Bunge.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) (kulia) akifafanua hoja kwa niaba ya Serikali kwenye kikao hicho kilichofanyikaa katika Ukumbi wa Spika wa Bunge.

Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah (mbali-kulia) akitoa ushari wa kitaalam kuhusu mafanikio ya mkutano wa 16 na 17 unaoendelea Dodoma wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi



Wajumbe wa Kamati ya Uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashilila alipokuwa akitoa ushari wa kitaalam kuhusu uendeshaji wa shughuli za Bunge.

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa kikao ambapo alilitaka Bunge liendelee kufanya kazi zake za kuishauri serikali  kwa umaahisri kama inavyostahiki.


Wajumbe wa kamati ya Uongozi wakimsiliza Mhe. Lowassa.