Maandamano ya Ushindi
Elimu kwa umma
Timu ya ushindi
Ufafanuzi
kombe la ushindi
![]() |
| Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti |
![]() |
| Mjumbe wa Kamati na Mbunge wa Kilindi Mhe. Beatrice Matumbo Shelukindo akichangia wakati wa mjadala. |
![]() |
| Wajumbe wa CPA Tawi la Tanzania |
![]() |
| Wajumbe wa mkutano kwa upande wa Tanzania. |
![]() |
| Picha ya pamoja ya viongozi hao baada ya mkutano ambao baadhi ya mambo yaliyozungumziwa ni pamoja na Korea kuwekeza hapa nchini katika Nyanja ya TEHAMA. |
![]() |
| Spika Makinda akimkabidhi mgeni wake zawadi mara baada ya chakula cha jioni. |
![]() |
| Spika Kang akipokelewa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. A.P. Kificho mara tu baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar Dkt. Mohammed Shein (kulia) akiwa na mazungumzo na Spika wa Bunge la Korea Kusini Mhe. Kang Chang-Hee (kushoto). Katikati ni mkalimani. |
![]() |
| Picha ya pamoja kwenye Ikulu ya Zanzibar. |
![]() |
| Rais wa Zanzibar Dkt. Mohammed Shein akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) wakati wa ziara ya Spika wa Korea visiwani Zanzibar. |
![]() |
| Spika wa Bunge la Korea Kusini Mhe. Kang Chang-Hee akiushukuru ujumbe wa Tanzania kwa heshima kubwa mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini. |