| Watoto wakilea watoto |
Sunday, January 13, 2013
Taswrira ya taifa
Basi likishafika kituo fulani Morogoro abiria hushuka na kuanza kuchimba dawa (Picha kwa hisani ya www.mkumbaru.blogspot.com)
Saturday, January 12, 2013
Ajali Dar, Mapinduzi Day
Thursday, January 10, 2013
TROIKA
Habari mchanganyiko
Tuesday, December 11, 2012
CRDB yabisha hodi Burundi
![]() |
| Jengo la CRDB Jijini Bujumbura Burundi |
| Rais wa Burundi Piere Nkurunzinza akikata utepe wa jengo la CRDB. Kulia ni Dkt Charles Kimei, Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB |
![]() |
| Balozi wa Tanzania nchini Burundi (kushoto) akiteta neno na Dkt Kimei (kulia) |
| Wafanyakazi wa CRDB Burundi na Tanzania kwenye picha ya pamoja. |
Bunge Sports Club netball yaongoza kwa mabao 100:
| Wakishangilia |
| Afrika Mashariki |
Sunday, December 9, 2012
Tanzania yatisha
| Kikosi cha Tanzania |
Tanzania yaendeleza ubabe wa kwa timu za mabunge ya
nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya timu ya
mpira wa kikapu wananwake
kuinyanyasa Kenya Bunge
Sports Club kwa mabao 51-25. Wakati huohuo, timu ya
wanaume imeedelea kutoa adhabu kali leo ikiwa ni zamu
ya Rwanda ambapo hadi
kipenga cha mwisho Tanzania 6
Rwanda 0. Jana Kenya ilibamizwa bao 5-0
| Kikosi cha Kenya |
| Mwanzo wa karamu ya mabao |
| Mlinda mlango wa Rwanda (wanaume) akinyanyasika golini |
| Mambo yalipokuwa magumu Rwanda (wanaume) wakamwingiza mwanamke |
Saturday, December 8, 2012
Mashindano ya michezo ya Wabunge yaanza Nairobi
|
Maandamano ya uzinduzi
|
|
Kikosi cha Tanzania wakati wa uzinduzi.
|
|
Kikosi cha Afrika Mashariki
|
|
Kikosi cha Tanzania kikiusoma mchezo kati ya Uganda
na Afrika Mashariki
|
|
Muamuzi wa mchezo huo Bi Damaris Kimani kutoka Kenya.
|
Sunday, December 2, 2012
EAC yapata jengo la Makao Makuu Arusha
| Spika Makinda akimkaribisha Rais Kikwete katika uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu yaJumuiya ua Afrika Mashariki jijini Arusha |
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margareth Natongo Zziwa akimkaribisha Spika wa Bunge la Tanzania kwenye Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki ndani ya Jengo la Jumuiya hiyo
| Spika Zziwa akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uzinduzi wa ukumbi wa Bunge |
Rais Kikwete akilihutubia Bunge la Afrika Mashariki
Picha ya pamoja
Muonekano wa Jengo kwa nje
Subscribe to:
Posts (Atom)










