.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Friday, October 7, 2011

Afrika-Asia zaungana kusomesha wanawake


  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akihutubia Mkutano wa Afrika-Asia 2011 leo ambapo amesisitiza elimu yenye maadili ndiyo njia pekee ya kumkomboa mwanamke  pamoja na jamii kwa ujumla. Mkutano huo  umeandaliwa na Chuo Kikuu cha Wanawake cha Sookmyung  nchini Korea Kusini ambacho kimetiza miaka mia moja na tano tangu kianzishwe 1906.

 
Wahadhiri wa vyuo vikuu, wawakilishi kutoka nchi kumi na mbili za Asia na Afrika (Korea, Tanzania, Bukina Faso, China, Vietinam, Uganda, Nigeria, Senegal, Kyrgstan, Cambodia, Pakistan na Philippine) pamoja na wanafunzi wa Sookmyung wakimsikiliza Spika Makinda.

       Spika Makinda akifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi wa Mkutano iliyotolewa na Rais wa Chuo Kikuu cha Sookmyung, Dkt. Young Sil Han


      Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Korea katika Vyuo Vikuu mbalimbali walifika kumsiliza spika wao
 
     Baadaye Spika Makinda alipata wasaa wa kukutana na vyombo vya habari na kufafanua umuhimu wa kuwa na vyuo vikuu vya wanawake.  Hapa anaongena Avivang Tv ya Korea

Salma Dinya ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. John Dodoma ambaye alialikwa kwenye mkutano huo kuiwakilisha Tanzania kama kiongozi  kijana. Hapa anatoa mada  kwa wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Asia na Afrika kuhusu Tanzania.
 
Rais wa Chuo kikuu cha Sookmyung Dkt. Young Sil Han akitoa maelezo mafupi kwa wageni wake

Bolozi wa Amani Uingereza Bi Elizabeth B. de. Jong akimkabidhi Spika Makinda zawadi ya kitabu “ Global Citizen”  

Spika akiwa na mazungumzo na watanzania waishio Korea akiwaelezea hali ya nyumbani  na kuwaasa wasome kwa bidii na kurejea nyumbani.

 Spika Makinda akutana na Salma Dinya Millenium Seoul Hilton Hotel

 
Spika wa Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwa na mwenyeji wake Dkt Han, Rais wa Chuo Kikuu cha wanawake cha Sookmyung, Korea
 
Wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali Asia na Afrika wakimsikiliza Bi. Salma Dinya


Picha ya pamoja katika Hoteli ya Lotte, Seoul

Picha ya pamoja ya waratibu wa mkutano wakati wa mijadala

Picha ya pamoja ya Spika Makinda, wanafunzi wa tanzania Korea na ujumbe wa Spika

Picha ya pamoja ya Viongozi wa ngazi ya juu kutoka Afrika na Asia waliohudhuria mkutano huo

Picha ya pamoja ya viongozi vijana na wageni kutoka sehemu mablimbali

Salma na wenzake baada ya mkutano wa siku ya kwanza

Salma akitoa mada akiwa na vazi la kimasai. kila mtu alimfurahia
 
Salma akisubiri kuanza kula chakula cha jioni walichandaliwa katika hoteli ya Lotte, Seoul

Wednesday, October 5, 2011

Speaker Makinda to address Asian and African Women’s Conference 2011


       Professor Kisuk Lee (left) leads professors and members of staff from Sookmyung Women’s University in Seoul, South Korea to welcome the Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania Hon. Anne Makinda  who arrived here today by the University’s invitation.

   Professor Lee welcomes Madam Speaker (left) as she arrives at the Incheon International Airport  to attend the Asian and African Women’s Conference (AAWC) 2011 at the Sookmyung Women’s Univesity.  Five other African countries to participate.


  From the airport, an hour-journey to Seoul city centre started

     At the Millenium Seoul Hilton Hotel Madam Speaker is met by the chief coordinator of the AAWC Ms. Soo Young Song (left).


       A topography of the Sookmyung Women’s Univesity which vie to establish sisterly friendship with the Univeristy of Dodoma, Tanzania.
With Madam Speaker is a St. Johns's University of Tanzania 3rd year Student pursing Education. Ms Salma Hamadi Dinya has been invited by Sookmyung Women's University to advocate Women and Law in Tanzania 

The infrastucture is superb... The Seoul Station for sub-ways (train) to various parts of the city

Inside the train (sub-way) that operates between Seoul city centre to the Incheon International Airport

The Centennial Hall within the Sookmyung Women's University in which the august conference (AAWC 2011) is taking place

Infrastructure within the city

  This is the Incheon International Airport in Seoul, classified as the best airport in the world

Yes!Libya will soon be the poorest in Africa!

All of the below advantage will shift to Nato's pocket
INTERESTING The media has successfully painted Gaddafi as a hard-core dictator, tyrant whatever you want to call him. However, the media as usual has also failed to show the kind, giving Gaddafi we never heard of. Gaddafi, unlike most dictators I will refrain from naming, has managed to show his humane side, the very side we dream of seeing in other dictators who just talk and talk. I consider Libyans lucky to a certain extent and one wonders with the new democratic rule they cry for will it improve or worsen life for them. Yes, Gaddafi has spent millions of Libya`s money on personal ventures but is the average Libyan poor? We know others who take a country and destroy it until you feel like there is no hope of restoring this country… looting some prefer to call it. Did Gaddafi loot Libya in any way?


Now let us get to the unknown facts about the Libyan dictator Muammar Gaddafi:
1. There is no electricity bill in Libya; electricity is free for all its citizens.
2. There is no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
3. Home considered a human right in Libya – Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi’s father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.
4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.
Traditional wedding in Tripoli, Libya
5. Education and medical treatments are free in Libya. Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.
6. Should Libyans want to take up farming career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms – all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to go abroad for it – not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.
8. In Libyan, if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of petrol in Libya is $0.14 per liter.
10. Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.
Great Man-Made River project in Libya… $27 billion
11. If a Libyan is unable to get employment after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan oil sale is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who gave birth to a child receive US$5,000
14. 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a university degree
16. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.
Which other dictator has done much good to his people?

Tuesday, October 4, 2011

Victor B. Minja and Edna Y. Bakari are no longer two...they are one


 Ndafu ikawekwa  kati
Bwana Victor  Balthazar Mashindano Minja na  Bi. Edna  Yusufu Bakari wote wa Arusha siku ya tarehe 1 Oktoba 2011 walikata shauri na kuamua kuishi maisha ya mume na mke.  Bw. Victor ni Msanifu Majengo wa Wakala wa Majengo Tanzania  na Bi. Edna ni mfanyakazi mkoani Arusha.  Shughuli nzima ilifanyika nyumbani kwa  Profesa Balthazar Mashindano Minja (bingwa wa Pua, Koo na Masikio kidhungu ENT), Boko-Ununio Beach. Baada ya ibada takatifu ya misa kanisani, mambo yakawa hivi:

 Victor na Edna wakaanza kufanya kweli

 Nilishe nikulishe wangu

Wazazi tulieni mlishwe - Profesa BM Minja akilishwa ndafu


 Ndipo ikaanza safari ya kuelekea kwa wakwe

Mambo ya picha yakafuata ...mapozi si mapozi


Mama Victor akilishwa ndafu

Karibuni ndafu wageni waalikwa



Mandhari ya ukumbi na pamba za wadau

Vikundi mbalimbali vikipiga picha na maharusi




Wadau wakibadilishana mawazo




Kamati iliyoongoza shughuli

Mama Victor akitoa neno la shukrani

Ndipo ngoma ikaanza

Watoto hawakuachwa nyuma