Tuesday, August 23, 2011
Friday, August 19, 2011
China boosts Parliament IT department in Tanzania
Hon. Makinda addressing the delegation
Hon. Makinda addressing the delegation
| On exchanging gifts, Hon Makinda gives a wall-clock decorated with Bunge buildings to her guest |
| A group photo before saying good bye |
| Deputy Speaker Ho. Job Ndugai sees Hon. Wuwei off at the Dodoma airport. Watching is the deputy Chairman of the Parliamentary Committee of Foreign Affairs, Defencse and Security Hon Mussa Zungu Azan. |
Thursday, August 18, 2011
Karibuni Bungeni
| Naibu Spika Mhe. Job Ndugai akiwa na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Msalato leo baada ya wanafunzi hao kulitembelea Bunge |
| Waziri Mkuu Mhe. Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Peramiho Mhe. Jenista Mhagama leo |
| Wabunge wakifurahia jambo |
| Wajumbe wa CPA Tawi la Tanzania wakiwa kwenye kikao leo |
| Wajumbe wa CPA tawi la Tanzania |
Wednesday, August 17, 2011
Yaliyojiri Bungeni
| Waziri wa maliasili na Utalii Mhe. Ezekiel Maige akiwasilisha Bungeni bajeti ya wizara yake leo |
| Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe akijadili jambo na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Mathias Chikawe |
| Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Wiliam Lukuvi akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge Dodoma leo. |
| Wabunge wakimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii(katikati) |
Tuesday, August 9, 2011
Changamoto za Upinzani zisipuuzwe
| Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akifuatilia mjadala huo kwa umakini |
| Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa na Mhe. Spika kwenye mti huo. |
| Picha ya Maspika wote baada ya kupanda miti.
Picha zote na Prosper Minja -Bunge
|
Monday, August 8, 2011
Upinzani mzuri hauvurugi maendeleo: Rais Mutharika awaambia Maspika
| Ujumbe wa Maafisa kutoka Bunge la Tanzania |
Katibu Msaidizi wa CPA Kanda ya Afrika (wa pili kulia) Bw. Demetrius Mgalami kutoka Tanzania.
|
Spika Makinda (wa kwanza kulia waliokaa) kwenye picha ya pamoja ya Maspika na Wenyeviti wa Bunge. Katikati mwenye fimbo ni Ngwazi Profesa Bingu wa Mutharika, Rais wa Jamhuri ya Malawi.
|
Monday, August 1, 2011
This is how World Parliaments work!
Subscribe to:
Posts (Atom)







