.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Thursday, October 29, 2015

Amani ni tunu yetu na ni utamaduni wetu......

Karibu Ikulu: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimpongeza Rais Mteule wa JMT Mhe.Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya kutangazwa mshindi na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva jana

Nakukabidhi taifa likiwa na amani tele. Huu ni utamaduni na tunu kwa taifa letu kukabidhiana madaraka kwa njia ya amani na utulivu

Wednesday, October 28, 2015

Uchaguzi Zanzibar wafutwa, UKAWA wakataa matokea


Historia ya Tanzania imevaa sura mpya wakati kwa mara ya kwanza Tume ya Uchaguzi Zanzibar ilipoamua kuufuta uchaguzi mkuu tarehe 28/10/2015 na kuagiza uchaguzi kuitishwa upya. Uchaguzi Mkuu ulifanyika tarehe 25/10/2015
Ukawa wakataa mwenendo wa matokeo........

Uchaguzi Mkuu 2015 haukuwa na huruma kwa hawa....

Mhe. Wenje - Nyamagana
Anne Kilango Malecela - Naibu Waziri Elimu

Dkt. Cyril Chami - Naibu Waziri wa zamani wa Viwanda

Mhe. Christopher Chiza - Waziri Uwezeshaji

Dkt. Fenela Mkandala - Waziri wa Habari

Mhe. Idd Azani - Mbunge Kinondoni

Prof Kapuya - Waziri wa zamani wa Kazi na Ajira

Dkt. Kebwe - Naibu Waziri wa Afya

Mhe. Mangungu - Mbunge wa Kilwa

Mhe. Didas Masaburi - Meya wa Jiji la Dar

Dkt. Augustino Mrema - Naibu waziri Mkuu wa zamani

Mhe. Abbas Mtemvu _ Temeke

Mhe. Christopher Ole Sendeka - Simanjiro

Mhe. Nundu - Tanga

Mhe. Jerry Slaa - Mhe. Meya Ilala

Mhe. S. Wasira - waziri Kilimo

Mhe. Godrey Zambi - Naibu Waziri Kilimo

MATOKEO UCHAGUZI MKUU 2015