.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

.

.
.

Sunday, April 29, 2012

AFRIKA MASHARIKI KUSHIRIKIANA KIULINZI




Viongozi wa nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi) wakiongozwa na Rais wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika kusaini makubaliano ya ushirikiano wa mambo ya Ulinzi tarehe 28. April 2012 mjini Arusha.

















Kilio cha furaha: Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lisu
akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya uchaguzi

Mh. Tundu Lisu akitulizwa na mkewe



Semina maalum kwa Makatibu Muhtasi jijini Mwanza


Rose Mhando alivyoteka nyoyo za watu siku ya Pasaka tarehe 8.4.2012 katka Uwanja wa Taifa


Friday, April 27, 2012

NEC na maamuzi magumu!

Juu & Chini: Mwenyekiti wa CCM Taifa aliye pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Jijini Dar es Salaama ambapo maamuzi magumu ya kuliusuka upya baraza la mawaziri na kuwatosa waliotajwa na Bunge kuwa ni vikwazo kwa maendeleo ya Taifa hili. Kikao hicho kilifanyika jana.




Dkt Lina Mhando, Mhadhiri mwandamizi kutoka Marekani awapasha waafrika kuwa migogoro ya mara kwa mara, uroho wa madaraka, rushwa, uzembe na unyanyasaji wa kijinsia ndivyo vunavyolitafuna bara hili


Tuesday, April 24, 2012

Yaliyojiri



Acheni Mungu aitwe Mungu.... dhahama ya nguzo za umeme mkubwa zaidi ya 20 zaanguka Dar kutokana na upepo mkali. Hajafa mtu bali baadhi wamejeruhiwa




Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akisherehekea harusi yake ya nne Aprili 2012

Warembo wajinoa kuwania Miss Redds, Arusha

Pamoja na fani ya usanii wataka kuongeza fani ya ufundi magari

A flower of joy


Sunday, April 22, 2012

Heshima za mwisho kwa hayati Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki 22 Aprili 2012


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya mrisho Kikwete

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dkt Mohammed Shein akisaini kitabu cha maombolezo

Rais wa Serikali ya Mapiduzi Zanzibar

Habari Mchanganyiko


Penye shimo panda mti na kuumwagilia

Mhe. Deo Filikunjombe akisaini karatasi la nia ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu. Kulia ni Mhe. Zitto Kabwe


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta jambo na wabunge wa vyama vya upinzani jana.






Meli ya uvuvi haramu "ya samaki wa Magufuli" ikielekea kuzama

Thursday, April 19, 2012

Bunge la Kumi, Mkutano wa Saba, Dodoma

Karibu kijana... muhimu tupingane bila kupigana... Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda akizungumza na mbunge mpya wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nasari katika viwanja vya Bunge jana




Spika wa Bunge Mhe. Anne Semamba Mamkinda (Mb), (kushoto) akiwa na mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue mara Balozi huyo alipomtembela ofisini kwake Dodoma jana.






Kushoto: Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwafunda Wabunge wapya wa Bunge la Afrika Mashariki waliochaguliwa hivi karibuni jinsi ya kuweka uzalendo mbele na mengine baadaye. Shughuli hii ilifanyika katika Ofisi ya Spika mjini Dodoma




Kwetu siasa si ugomvi....Makamu wa Kwanza wa Serilaki ya Mapinduzi Zanzibar aliye pia Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Mhe. Maalim Seif Hamad akisalimiana na hasimu wa wake Mbunge wa Wawi Mhe. Hamad Rashid Hamad jijini Dar es Salaam hivi karibuni

British High Commissioner in Dodoma

A minute with the British High Commissioner HE Dianne Corner (right) as the envoy paid visit in Dodoma recently

Wednesday, April 18, 2012

The race for the East Africa Legislative Assembly (EALA) seat



The Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania Rt. Hon. Anne Semamba Makinda gives the preliminary explanation and election procedures just before the voting exercise starts. Sittung at the fore front from left  are Clerk of the national Assembly who is also the Election supervisor, Dr. Thomas Kashililah, Director of Parliament Business Mr. John Joel and Clerk at the Table Ms. Nenelwa


Election exercise in progress whereby the following won: Ms. Shyrose Bhanji. Ms. Nderakindo Kessy, Mr. Mwinyi Hassan, Mr. Adam Kimbisa, Mr. Bernard Marunya, Mr. Makongoro Nyerere, Mr. Taslima Issa, Ms. Angela Kizigha and Mr. Yahya Ussi.

Monday, April 16, 2012

Tanzania Commission for Universities

Tanzania Commission for Universities


The Tanzania Commission for Universities (TCU) hereby informs prospective applicants into higher education institutions who completed their form six, Ordinary Diploma in Education and NTA Level 6 from 1988 to 2011 that the deadline for application of admission through the Central Admission System (CAS) has been extended to 30th May 2012.
Application fee
Tanzanians will be required to pay an application fee of TShs 30,000/- payable through NBC branches countrywide

Non-Tanzanians will be required to pay US$ 60 through CAS Account at any NBC Bank countrywide (TCU-CAS Acc. No. 074139000021).

Applicants residing outside Tanzania will be required to pay US$ 60 through CAS Account number (TCU-CAS Acc. No. 074139000021). The swift code: NLCBTZTX
Branch code: 074

Note:
·        Payments and cards are only available at NBC branches countrywide and not any other bank.
·        The pre-paid cards should be retained after use for future reference when need arises.  Cards once sold cannot be returned, exchanged or refunded.
Issued by the Executive Secretary
TCU.

Application for admission into higher education institutions in academic year 2012/2013 for applicants who completed their studies from 1988 to 2011

Speaker Makinda meets with Finish Envoy in Dododma

The Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania Hon. Anna Makinda exchanging  talks with the Finland Ambassador to Tanzania Hon. Antila Sinikka as the envoy paid her a visit in Dodoma today. Photo by Owen Mwandumbya - Bunge.


Pamoja na mkwara mzito wa matangazo ya kuzuia kuegesha magari wabongo wamezidi kukomaa mwanawane!


Banda la maonesho ya kuitangaza Tanzania - Malaysia

Saturday, April 14, 2012

MATUKIO


Chonde chonde let us not judge Lulu till the court of law does do!

Kumuenzi Sokoine kumebakia maneno au vitendo? Wami 12 Aprili 2012

Read this Book and you wont remain the same. "Left to tell"


Asante MCT kwa kumtetea Lulu

Tume ya Katiba Mpya.... Mzee Warioba kumbuka Tume ya Rushwa

Mamiss na "vazi la Taifa". Pengine weupe na nywele za kizungu ni kigezo

Friday, April 13, 2012

MARUFUKU KUUZA KAZI ZA MAREHEMU KANUMBA BILA KIBALI MAALUM

Hairuhusiwi kuuza kazi za msanii Steven Kanumba (1984-2012). Mama yeke mzazi akitoa heshima za mwisho kwa mwanae

Thursday, April 12, 2012

TANGAZO KWA UMMA

Maonesho ya saba ya vyuo vikuu yatafanyika kuanzia tarehe 18 hadi 20 mwezi Aprili mwaka 2012 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaam.
Mgeni rasmi atakuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Gharib Bilali.
Maonesho yatakuwa yanafunguliwa saa tatu kamili asubuhi na kufungwa saa kumi na mbili jioni kila siku.

HAKUNA KIINGILIO NA NYOTE MWAKARIBISHWA  

Tuesday, April 3, 2012

MATUKIO

Wadau wakiwa wamepozi kusubiri huduma za kibenki Chimwaga UDOM

Bw Kelvin, Mpiga picha maarufu UDOM

Don Bosco times, dar es salaam

Prince and Precious

Monday, April 2, 2012

Vox Popil Vox Dei!

"Tulianza na Mungu, Tumemaliza na Mungu" (Joshua Nasari, Aprili 2, 2012)

Sunday, April 1, 2012

NI JUMAPILI YA MATAWI.... BWANA ANA HAJA NASI!


Maadhimisho ya jumapili ya Matawi katika Uwanja wa Vijana Parokia ya K'Ndege, Dodoma leo. Ujumbe wa siku "Bwana ana haja Nasi!"

Maandamano ya Amani kuelekea "Yerusalemu" (Kanisani)